Back

ⓘ Ukanoni. Ili kuboresha maisha ya mapadri wanajimbo, toka zamani ulisisitizwa uundaji wa jumuia kati yao, ambamo wasali na kufanya utume kwa pamoja. Hasa kuanzia ..Ukanoni
                                     

ⓘ Ukanoni

Ili kuboresha maisha ya mapadri wanajimbo, toka zamani ulisisitizwa uundaji wa jumuia kati yao, ambamo wasali na kufanya utume kwa pamoja.

Hasa kuanzia karne XI wengi walifanya hivyo kwenye makanisa makubwa kama mtindo mpya wa kitawa unaosisitiza liturujia ya fahari pamoja na uchungaji.

Inavyoweza kueleweka, hao walifuata kanuni ya Agostino wa Hippo na kuitwa Wakanoni. Maarufu zaidi katika yao ni Norbert 1082-1134, mwanzilishi wa Wapremontree.

Leo mtindo huo unaendelea katika mashirika mbalimbali, ambayo lakini hayana watu wengi kama aina nyingine za utawa.

                                     

1. Viungo vya nje

  • Houses and Congregations C.R.S.A. Archived Oktoba 12, 2013 at the Wayback Machine.
  • Hugh of St. Victor. Explanation of the Rule of St. Augustine, translated by Dom Aloysius Smith C.R.L., Sands & Company, London, 1911 Archived Oktoba 4, 2013 at the Wayback Machine.
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →