Back

ⓘ Door of Hope Tanzania. Door of Hope to Women and Youth Tanzania ni asasi isiyokuwa ya kiserikali iliyopo katika kata ya Shangani, manispaa ya Mtwara, Tanzania. ..                                     

ⓘ Door of Hope Tanzania

Door of Hope to Women and Youth Tanzania ni asasi isiyokuwa ya kiserikali iliyopo katika kata ya Shangani, manispaa ya Mtwara, Tanzania. Ni shirika linaloshugulika kuwainua kina mama na vijana kiakili, kisaikolojia na kimwili ili waweze kufanikiwa na kuwa na maendeleo endelevu.

                                     

1. Malengo

Malengo ya asasi hiyo ni kusaidia na kuwawezesha wanawake na vijana katika maendeleo ya kiuchumi na kukuza ushiriki wa vijana na kina mama katika maendeleo ya umma.

Hapo mwanzo, asasi hiyo ilikuwa ikijulikana kama Tanzania Youth and Women Foundation.

Asasi hiyo ilianzishwa rasmi mwaka 2016.

Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →