Back

ⓘ Asasi ni chombo kikubwa kama vile shirika linalohusika na utoaji wa huduma kwa watu katika jamii. Asasi zipo za aina mbalimbali; kuna asasi za kiserikali na asa ..                                               

Tanga Heritage Centre

The Tanga Heritage Centre, inajulikana zaidi kama Urithi ni asasi isiyo ya kiserikali na kifaida yenye makazi katika mkoa wa Tanga nchini Tanzania, asasi hii ilianzishwa mwaka 1999 kwa malengo ya kutunza na kutangaza urithi wa Mkoa wa Tanga

Asasi
                                     

ⓘ Asasi

Asasi ni chombo kikubwa kama vile shirika linalohusika na utoaji wa huduma kwa watu katika jamii.

Asasi zipo za aina mbalimbali; kuna asasi za kiserikali na asasi zisizo za kiserikali.

                                     

1. Asasi za kiserikali

Hivi ni vyombo au mashirika mbalimbali ya kiserikali yanayojishughulisha na utoaji wa huduma katika jamii. Vyombo hivyo vinaweza kuwepo katika elimu, afya na kadhalika.

Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →