ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 67                                               

Jeraha sugu

Jeraha sugu ni jeraha ambalo haliponi katika utaratibu uliojipanga wa hatua na katika kiasi cha muda unaotabirika kama vile majeraha mengi yafanyavyo; majeraha ambayo hayaponi ndani ya miezi mitatu mara nyingi huchukuliwa kuwa sugu. Majeraha sugu ...

                                               

Jeromu Hermosilla

Jeromu Hermosilla, O.P. alikuwa askofu mmisionari kutoka Hispania. Ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wen ...

                                               

Jina takatifu la Maria

Jina takatifu la Maria ni kumbukumbu ya hiari katika kalenda ya liturujia ya Kanisa la Kilatini. Huadhimishwa tarehe 12 Septemba kila mwaka ili kuhimiza Wakristo kumsifu Bikira Maria na kumuitia katika shida yoyote.

                                               

Jina takatifu la Yesu

Katika Kanisa Katoliki ibada hiyo ilistawi hasa mwishoni mwa karne za kati, sambamba na ile kwa Moyo mtakatifu wa Yesu. Litania ya Jina Takatifu ilitungwa na Wafransisko wa karne ya 15 Bernardino wa Siena na Yohane wa Capistrano walioeneza sana i ...

                                               

Jiografia ya Afrika

Jiografia ya Afrika inahusu bara hilo ambalo ni la pili duniani kwa ukubwa, likiwa na eneo la kilometa za mraba zipatazo 30.368.609 na vilevile kwa idadi ya wakazi, hao wakiwa 1.275.920.972. Asia ndiyo bara pekee la kushinda Afrika. Kuna umbali w ...

                                               

Jiografia ya Kenya

Jiografia ya Kenya inahusu nchi hiyo ya Afrika Mashariki ambayo ni ya 47 kwa ukubwa duniani ikifuata mara Madagaska 580.367 km 2 ikiwa na eneo la kilomita mraba 580.367. Kutoka pwani ya Bahari ya Hindi, nyanda za chini zimeinuka hadi milima ya ka ...

                                               

Jipu

Jipu ni tatizo la ngozi linalotokana na maambukizi ya kina ya folikuliti au maambukizi ya folikoli za nywele za jasho; mara nyingi unasababishwa na bakteria Stafilokokasi aureasi, ambayo husababisha kuvimba kwa eneo chungu lililo juu ya ngozi kut ...

                                               

Kijita

Kijita ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wajita. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kijita ilihesabiwa kuwa watu 205.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kijita kiko katika kundi la E20.

                                               

Johann Bayer

Johann Bayer alikuwa mwanasheria na mwanaastronomia kutoka nchi ya Ujerumani. Alianzisha mfumo unaotumika hadi leo wa kutaja mahali pa nyota angani kufuatana na kundinyota na mwangaza unaoonekana. Majina ya Bayer hutumiwa kwa nyota angavu zinazoo ...

                                               

Johannes Gutenberg

Johannes Gensfleisch zur Laden zum Gutenberg, anayejulikana kifupi kama Johannes Gutenberg, alikuwa fundi dhahabu na mvumbuzi kutoka Ujerumani anayekumbukwa hasa kama mbuni wa uchapaji vitabu kwa herufi za kusogezeka. Alitengeneza mashine ya kwan ...

                                               

John Garang

Dkt John Garang de Mabior alikuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudan na kiongozi wa zamani wa waasi wa Sudan Peoples Liberation Army.

                                               

John Michael Talbot

John Michael Talbot ni mfuasi wa Yesu Kristo, mwimbaji na mpigaji gitaa wa Kimarekani. Ni mwanzilishi wa The Brothers and Sisters of Charity huko Eureka Springs, Arkansas.

                                               

Archibald Jordan

Archibald Campbell Mzolisa Jordan alikuwa mwandishi na mwanahistoria wa Afrika Kusini. Hasa anajulikana kwa riwaya yake ya Kixhosa Ingqumbo Yeminyanya. Pia aliandika tahakiki za fasihi ya Kixhosa zilizotolewa baada ya kifo chake tu. Mwaka wa 1961 ...

                                               

Joseph Garang

Garang alisoma shule ya St. Antonys Bussere 1944-1948 na Rumbek Secondary School 1949-1953. Mnamo mwaka 1957,alikuwa mwanamume wa kwanza Msudani kupata shahada ya sheria wakati akihitimu katika chuo kikuu cha Sudani cha University of Khartoum. Mu ...

                                               

Joto kutoka ardhi

Joto kutoka ardhi, pia joto ardhi ni chanzo cha nishati kinachotumia joto lililopo chini ya uso wa dunia.

                                               

Joviani wa Trier

Joviani wa Trier ni mmojawapo katika kundi la Wakristo 12 ambao mwaka 287, wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian, walihukumiwa kufa kwa ajili ya imani ya Kikristo katika mji wa Trier. Tangu kale wafiadini hao wote wanaheshimiwa kama watakatifu ...

                                               

Jua

Jua ni kitovu cha mfumo wa Jua wenye sayari nane, sayari vibete na magimba mengi madogo. Dunia ni sayari ya tatu katika mfumo huu. Jua ni nyota iliyo karibu na Dunia yetu kuliko nyota nyingine zote.

                                               

Judikaeli

Judikaeli alikuwa mfalme wa Bretagne kabla ya kwenda tena kuishi monasterini. Akiwa madarakani alijitahidi sana kupatanisha wananchi wake na wavamizi Wafaranki. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake hu ...

                                               

Julian Assange

Julian Paul Assange ni mtaalamu wa kompyuta toka Australia aliye mwanzilishi na mkurugenzi wa WikiLeaks. Hivi sasa anashikiliwa na polisi London, Uingereza baada ya kukamwata tarehe 11 Aprili 2019 kwa kutotii masharti ya dhamana aliyopewa mnamo D ...

                                               

Juliani wa Aleksandria (patriarki)

Juliani wa Aleksandria kuanzia mwaka 178 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria na Papa wa 11 wa Kanisa la Wakopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

                                               

Juma kuu

Juma kuu ni juma la mwaka ambalo Wakristo wanaadhimisha kwa namna ya pekee matukio makuu ya historia ya wokovu kadiri ya imani yao, kuhusiana na mwisho wa maisha ya Yesu huko Yerusalemu, uliofuatwa na ufufuko wake. Katika madhehebu mengi ya Ukris ...

                                               

Jumamosi kuu

Jumamosi kuu ni siku ya Juma kuu inayoadhimisha hasa pumziko la mwili wa Yesu Kristo kaburini kabla ya kufufuka kwa utukufu usiku wa kuamkia Jumapili ya Pasaka. Tarehe yake inabadilikabadilika kila mwaka na hata mwaka uleule ni tofauti katika mad ...

                                               

Jumba la Sultani, Zanzibar

Jumba la Sultani ni jengo la kihistoria kwenye Mji Mkongwe wa Zanzibar. Linapatikana kando ya mtaa wa Mizingani likitizamana na bahari, na Jumba la Maajabu lililoko jirani. Lilikuwa makazi ya Sultani wa Zanzibar kuanzia mwaka 1911 hadi mapinduzi ...

                                               

Jungle Brothers

The Jungle Brothers ni jina la kutaja kundi la muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Hawa hutazamiwa kama waazilishi wa hip hop yenye mchanganyiko wa jazz na kuwa kama kundi la kwanza la hip hop kutumia muziki wa house katika hali ya hip-hop ...

                                               

Justin mfiadini

Justin alikuwa mwanafalsafa ambaye, kisha kuongoka, alieneza na kutetea Ukristo hata kwa maandishi maarufu, na hatimaye akauawa pamoja na wanafunzi wake sita katika dhuluma ya Dola la Roma. Hati za mateso yao zimetunzwa hadi leo. Anaheshimiwa na ...

                                               

Justiniani I

Justiniani I au Justiniani Mkuu alikuwa kaisari wa Dola la Bizanti kuanzia mwaka wa 527 hadi kifo chake. Justiniani alijitahidi kurudisha Dola la Roma katika fahari yake ya zamani renovatio imperii, yaani kufanya upya dola na kwa ajili hiyo alipi ...

                                               

Justino de Jacobis

Justino de Jacobis alikuwa mtawa wa Shirika la Misheni, halafu askofu na mmisionari nchini Ethiopia na Eritrea. Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu tangu tarehe 26 Oktoba 1975. Hata Wakristo wengine na Waislamu wanatembelea kaburi lake ...

                                               

Kaa (kundinyota)

Kaa ni kundinyota la zodiaki. Ni moja ya makundinyota yanayotambuliwa na Umoja wa Kimataifa wa Astronomia Nyota za Kaa huwa haziko pamoja kihalisi lakini zinaonekana tu vile kutoka duniani. Kwa uhalisi kuna umbali mkubwa kati yao, kama ziko mbali ...

                                               

Kikabwa

Kikabwa ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakabwa. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kikabwa imehesabiwa kuwa watu 14.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikabwa iko katika kundi la E40.

                                               

Kaduna

Kaduna ni mji mkuu wa jimbo la Kaduna kaskazini-kati mwa Nigeria. Mji,huu ambao uko kwenye Mto wa Kaduna, ni kiini cha biashara kubwa na usafiri kwa maeneo ya kilimo yaliyo karibu pamoja na reli na makutano za barabara. Idadi ya wakazi wa Kaduna ...

                                               

Kikaguru

Kikaguru ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakaguru. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kikaguru imehesabiwa kuwa watu 241.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikaguru iko katika kundi la G10.

                                               

Kikahe

Kikahe ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakahe. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kikahe imehesabiwa kuwa watu 2700. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikahe iko katika kundi la E60.

                                               

Kaidi

Kaidi ilijulikana kwa mabaharia Waswahili tangu miaka mingi wakifuata njia yao baharini wakati wa usiku kwa msaada wa nyota. Walipokea jina hili kutoka kwa Waarabu wanaosema hapa kwa kawaida القائد al-qaid "kiongozi"; hii ni kifupi la jina ndefu ...

                                               

Kaini

Baadaye historia ya wokovu inaonyesha kulikuwa na maendeleo ya ufugaji wa kondoo na ngombe, pia kulikuwa na maendeleo ya ufundi na utamaduni, lakini kwa upande wa maadili watu walizidi kuwa waovu. Lameki, licha ya kumwua kijana kwa ajili ya kumwu ...

                                               

Kairo

Kairo ni mji mkuu wa Misri na mji mkubwa wa nchi zote za Kiarabu, pia moja kati ya majiji makubwa duniani. Kairo yenyewe inakadiriwa kuwa na wakazi 10.230.350, kanda ya jiji pamoja na mitaa ya nje na mapembizo ni 15.628.325.

                                               

Kaisarea Baharini

Kaisarea Baharini ulikuwa mji wa Palestina kuanzia mwaka 10 KK hadi 1265 BK. Kwa sasa ni sehemu ya Hifadhi ya Taifa la Israeli katika bonde la Sharon. Ulianzishwa na mfalme Herode Mkuu ukawa makao ya liwali wa Dola la Roma aliyetawala Palestina. ...

                                               

Kaisari Kaligula

Kaisari Kaligula alikuwa mtawala wa Dola la Roma toka mwaka 37 hadi 41 BK. Mzao wa nasaba ya Julio-Klaudio, alizaliwa Anzio, (leo mkoani Lazio, Italia, tarehe 31 Agosti 12 na kuuawa tarehe 22 Januari 41.

                                               

Kaisari Klaudio

Kaisari Klaudio alikuwa mtawala wa Dola la Roma tangu tarehe 24 Januari 41 hadi 13 Oktoba 54. Alimfuata Kaisari Kaligula akafuatwa na Kaisari Nero.

                                               

Kale ya Washairi wa Pemba

Kale ya Washairi wa Pemba ni kitabu kilichokusanya mashairi ya kale ya Wazanzibari yaliyoandikwa na washairi wawili walioishi mwishoni mwa karne ya 18 na mwanzoni mwa karne ya 19. Washairi hao waNAjulikana kama Kamange na Sarahani na mashairi yao ...

                                               

Kaliforni

Kaliforni ni elementi ya kikemia yenye alama Cf na namba atomia 98. Ni metali nururifu iliyopangwa katika kundi la aktinidi kwenye jedwali la elementi. Isotopi kadhaa huwa na nusumaisha ya miaka mamia hadi 13.000 lakini isotopi nyingi hudumu daki ...

                                               

Kaligrafia

Kaligrafia ni sanaa ya kuandika vizuri na kurembisha maandishi. Neno latokana na lugha ya Kigiriki inayounganisha κάλλος na γράφειν) kupitia Kiingereza calligraphy. Asili ya kaligrafia iko katika kazi ya kunakili maandiko matakatifu kama vile Kor ...

                                               

Kaluta Amri Abeid

Shekhe Kaluta Amri Abeid alikuwa meya wa kwanza Mwafrika na mwanasiasa pamoja na mhubiri wa dini. Kwa jina la utani la kishairi alikuwa akijulikana kama Adili, lakini katika kipindi cha utoto wake baba yake alipenda kumuita kwa jina la Simba wa L ...

                                               

Kikami (Tanzania)

Kikami ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakami. Isichanganywe na lugha ya Kikami nchini Nigeria. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikami imehesabiwa kuwa watu 16.400. Kufuatana na uainishaji wa za Kibantu wa Malcolm Guthrie ...

                                               

Kampeni za Kivita katika Afrika ya Mashariki (Vita ya Kwanza ya Dunia)

Kampeni za Afrika ya Mashariki zilikuwa mfululizo wa mapigano ya kivita yaliyotokea Afrika ya Mashariki ya Kijerumani na koloni jirani za Msumbiji, Rhodesia ya Kaskazini, Afrika ya Mashariki ya Kiingereza, Uganda, na Kongo ya Kibelgiji. Kampeni h ...

                                               

Kamusi

Kamusi ni kitabu ambacho kinaorodhesha maneno ya lugha yaliyokusanywa kutoka kwa watumiaji wa lugha fulani, kwa mfano lugha ya Kiswahili. Maneno hupangwa kwa mtindo wa alfabeti, hutoa maana, asili na ufafanuzi wa utumizi wa maneno na jinsi yanavy ...

                                               

Kamusi sanifu ya Biolojia, Fizikia na Kemia

KSBFK ni kifupi cha Kamusi sanifu ya Biolojia, Fizikia na Kemia iliyoandaliwa na wataalamu wa TUKI wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 1990 chini ya uhariri mkuu wa David P.B. Massamba. Kamusi hii inakusanya maneno ya kisayansi kwa utaratibu uf ...

                                               

Kamusi za Kiswahili

Kamusi za Kiswahili ni zile zinazofafanua maana ya maneno ya lugha hiyo ya Afrika Mashariki ambayo inazidi kuenea hasa barani Afrika. Kamusi hizo ni vyombo muhimu kwa kukuza na kuimarisha Kiswahili, ambacho kwa sasa ni lugha rasmi ya Jumuia ya Af ...

                                               

Kanaani

Kanaani ni jina la zamani la eneo la Mashariki ya Kati ambalo siku hizi limegawanyika katika nchi za Israeli na Palestina, Lebanoni na sehemu za Magharibi za Jordan na Sirya. Katika Biblia jina hilo kwa Kiebrania כנען, knaʿn linatumika zaidi kuma ...

                                               

Kaniko abati

Kaniko abati alikuwa mmonaki padri kutoka Ireland, maarufu kwa kuanzisha monasteri nyingi na kueneza Ukristo wa Kiselti katika sehemu mbalimbali za visiwa vya Britania, akifanya umisionari pamoja na kushika kanuni kali ya kitawa. Aliandika kitabu ...

                                               

Kanisa Katoliki la Kimelkiti

Kanisa Katoliki la Kimelkiti ni mojawapo kati ya madhehebu ya Kanisa Katoliki yanayoongozwa na Patriarki wake akisaidiwa na sinodi yake na akiwa na ushirika kamili na Papa wa Roma tangu mwaka 1729. Makao makuu yako Damasko, Siria, lakini Patriark ...

Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →