ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 65                                               

Wahadzabe

Wahadzabe au Wahadza ni kabila la Tanzania linaloishi hasa kandokando ya Ziwa Eyasi kwenye Bonde la Ufa na katika uwanda jirani wa Serengeti. Leo Wahadza hawafikii 1.000: kati yao 300–400 wanaishi bado kwa kuwinda na kuchuma vyakula bila uzalisha ...

                                               

Hamad bin Thuwaini wa Zanzibar

Sayyid Hamad bin Thuwaini Al-Busaid alikuwa sultani wa tano kuitawala Zanzibar. Alitawala kuanzia tarehe 5 Machi 1893 hadi 25 Agosti 1896.

                                               

Hamed bin Mohammed el Murjebi

Hamad bin Muhammad bin Juma bin Rajab el Murjebi alikuwa mfanyabiashara mashuhuri katika Afrika ya Mashariki na ya Kati wakati wa karne ya 19. Alikutana na wapepelezi mashuhuri kama David Livingstone, Henry Morton Stanley na Hermann von Wissmann. ...

                                               

Kihangaza

Kihangaza ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wahangaza. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kihangaza imehesabiwa kuwa watu 150.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kihangaza iko katika kundi la D60.

                                               

Hansel na Gretel

Hansel na Gretel ni kati ya ngano zilizosimuliwa katika vijiji vya Ujerumani wakati wa karne ya 19. Akina Grimm waliisikia walipokusanya urithi wa ngano katika eneo la Kassel, Ujerumani wakaichapisha katika Ngano za Watoto na Kaya mnamo 1812. Aki ...

                                               

Harun ar-Rashid

Harun ar-Rashid alikuwa khalifa wa tano wa nasaba ya Waabbasi aliyetawala milki kubwa ya Kiislamu kati ya miaka 786 hadi 809 BK.

                                               

Hassi

Hassi hassium ni elementi ya kikemia iliyo na alama Hs na namba atomia 108. Hassi ni yenye dutu nururifu; isotopi iliyo thabiti zaidi ni 269 Hs, ikiwa na nusumaisha ya takriban sekunde 16. Hassi ni elementi sintetiki ambayo haipatikani kiasili; i ...

                                               

Hathor

Hathor alikuwa mmoja wa miungu katika dini ya Misri ya Kale. Alikuwa mungu wa kike aliyepewa nafasi mbalimbali katika imani ya watu. Wakati wa nasaba ya kwanza aliabudiwa kwa umbo la ngombe. Baadaye aliaminiwa kuhusika na anga akaabudiwa kama mam ...

                                               

Hatshepsut

Hatshepsut alikuwa farao wa tano wa nasaba ya 18 ya Misri ya Kale. Alikuwa mmoja wa mafarao wa kike katika historia ya Misri. Alitawala kwa miaka 22.

                                               

Havilland de Sausmarez

Havilland de Sausmarez alikuwa hakimu wa mahakama kadhaa za Uingereza za kikoloni huko Afrika na Asia, Dola la Osmani na China. Nafasi yake ya mwisho ya mahakama kabla ya kustaafu ilikuwa kama Jaji Mkuu wa Mahakama Kuu ya Uingereza kwa China.

                                               

Kihaya

Kihaya ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wahaya. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kihaya imehesabiwa kuwa watu 1.300.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kihaya iko katika kundi la E20.

                                               

Joseph Haydn

Joseph Haydn alikuwa mtungaji wa muziki kutoka nchi ya Austria. Alizaliwa tarehe 31 Machi au 1 Aprili 1732 katika kijiji kikubwa cha Rohrau, jimbo la Austria Chini. Aliaga dunia tarehe 31 Mei 1809 mjini Vienna. Amekuwa maarufu kwa jina la heshima ...

                                               

Bessie Head

Bessie Emery Head hutazamwa kama mwandishi muhimu zaidi wa nchi ya Botswana. Alizaliwa katika eneo la Pietermaritzburg, Afrika Kusini, mwana wa mwanamke tajiri mweupe wa Afrika Kusini na mtumishi mweusi wakati ambapo uhusiano kati ya watu wa rang ...

                                               

Hedwiga wa Poland

Hedwiga aliishi tangu mwaka 1373/1374 hadi 17 Julai 1399). Kuanzia mwaka 1384 hadi kifo chake alitawala nchi ya Poland akiitwa mfalme badala ya malkia, ili kusisitiza kwamba hakuna tu mke wa mtawala halisi. Alizaliwa katika ukoo wa Wakapeti wa An ...

                                               

Kihehe

Kihehe ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wahehe. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kihehe imehesabiwa kuwa watu 805.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kihehe iko katika kundi la G60.

                                               

Henri Morse

Henri Morse, S.J. alikuwa padri wa Kanisa Katoliki ambaye kwa sababu hiyo aliuawa na serikali ya nchi yake. Papa Pius XI alimtangaza mwenye heri tarehe 15 Desemba 1929 halafu Papa Paulo VI tarehe 25 Oktoba 1970 alimtangaza kuwa mtakatifu mfiadini ...

                                               

Herald (Glasgow)

The Herald ni gazeti linalochapishwa Jumatatu hadi Jumamosi jijini Glasgow, na hupatikana kote nchini Scotland. Takwimu za Julai 2009, usambazaji wake ulikuwa nakala 55.707, takwimu hii inaonyesha kuwa gazeti hili linashinda gazeti lile jingine l ...

                                               

Herman wa Alaska

Herman wa Alaska alikuwa mmonaki wa Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi aliyefanya umisionari huko Alaska, leo jimbo la Marekani. Tarehe 9 Agosti 1970 alitangazwa na Waorthodoksi kuwa mtakatifu na inatumika kwa sikukuu yake ya kila mwaka.

                                               

Hernando de Soto

Hernando de Soto alikuwa mpelelezi na conqistador kutoka nchini Hispania. Aliongoza msafara wa kwanza wa upelelezi wa Kizungu katika maeneo ya sasa ya Marekani, akiaminiwa alikuwa Mzungu wa kwanza aliyefika kwenye mto Mississippi.

                                               

Herode Mkuu

Herode Mkuu ni jina la heshima linalotumika kumtajia mtu maarufu zaidi wa ukoo wa kifalme wa Yudea katika karne ya 1 KK, yaani Herode. Akiwa kwa asili mtu wa kabila la Waedomu upande wa baba na Myahudi upande wa mama, alitawala Yudea yote chini y ...

                                               

Herta Müller

Herta Müller ni mwandishi kutoka nchi ya Romania aliyetumia lugha ya Kijerumani. Mwaka wa 2009 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobeli ya Fasihi. Alizaliwa Nițchidorf, Kaunti ya Timiș, Romania. Toka mwanzoni mwa miaka ya 1990, alijulikana duniani kote ...

                                               

Hesiodo

Hesiodo alikuwa mshairi mashuhuri wa Ugiriki ya Kale. Pamoja na kazi za Homeri mashairi yake ni misingi wa elimu yetu juu ya vyanzo vya utamaduni wa Ugiriki. Hesiodo aliishi katika Bootia, Ugiriki ya kati alipokuwa mfugaji wa ngombe na mkulima. M ...

                                               

Hifadhi ya Comoé

Hifadhi ya Comoé ni hifadhi ya bioanwai iliyoandikishwa katika orodha ya UNESCO ya Urithi wa Dunia nchini Cote dIvoire. Ni hifadhi kubwa zaidi inayolindwa huko Afrika Magharibi, ikiwa na eneo la km 2 11.500. Upande wa kusini inaanza katika sehemu ...

                                               

Hifadhi ya Serengeti

Hifadhi ya Serengeti ni eneo kubwa la mbuga na misitu katika Tanzania ya kaskazini hasa katika mikoa ya Mara na Arusha ikipakana na nchi ya Kenya. Jina Serengeti limechukuliwa kutoka lugha ya Kimasai hasa: "Serengit" humaanisha "Kiwara kisichoisha".

                                               

Hifadhi ya Taifa ya Hells Gate

Hifadhi ya Taifa ya Hells Gate iko kusini mwa Ziwa Naivasha nchini Kenya, kaskazini magharibi mwa Nairobi. Mbuga ya Taifa ya Hells Gate inapata jina lake kutokana na vifusi vyembamba vilivyovunjika kutoka kwa miinuko, kwa wakati mmoja ilikuwa vij ...

                                               

David Hilbert

David Hilbert alikuwa mtaalamu wa hisabati, mantiki na falsafa ya hisabati kutoka nchini Ujerumani. Huhesabiwa kati ya wanahisabati muhimu zaidi ya karne ya 19 na mwanzo wa karne ya 20. Alishughulika maswali ya "invariant theory" na ukubalifu wa ...

                                               

Hildegarda wa Bingen

Hildegarda wa Bingen, O.S.B., kwa Kijerumani Hildegard von Bingen, kwa Kilatini Hildegardis Bingensis. alikuwa mwanamke mmonaki, mwanafalsafa na mtunzi wa vitabu vya aina mbalimbali kutoka Ujerumani wa leo. Toka zamani abesi huyo anaheshimiwa na ...

                                               

Himo

Majiranukta kwenye ramani: 3.38°S 37.55°E  / -3.38; 37.55 Himo ni mji mdogo katika Wilaya ya Moshi Vijijini ya Mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania. Himo huhesabiwa bado kama sehemu ya mtaa wa Makuyuni. Ilianza kukua wakati wa kufungwa kwa mpaka ...

                                               

Hip hop

Hip hop ni aina ya muziki unaoelezea aina ya usanii na utamaduni uliyotokana na jamii ya Wamarekani Weusi na Walatino kunako miaka ya 1970 mjini New York City, hasa katika kitongoji cha Bronx. DJ Afrika Bambaataa alieleza kwa muhtasari wa nguzo n ...

                                               

Hipoliti wa Roma

Hipoliti wa Roma alikuwa mwanateolojia muhimu zaidi wa Kanisa la Roma katika karne ya 3. Labda alizaliwa mjini Roma, lakini alipendelea kuandika kwa Kigiriki kuliko kwa Kilatini ambacho kilikuwa kinazidi kutumika katika Kanisa hilo badala ya lugh ...

                                               

Hirohito wa Japani

Hirohito alikuwa mfalme mkuu wa 124 wa Japani. Alimrithi baba yake Yoshihito tarehe 25 Desemba 1926 na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata ni mwanaye Akihito. Ingawa alijulikana sana nje ya Japan kwa jina lake la Hirohito 裕仁 kwa Kijapani, ...

                                               

Historia Kuu ya Afrika

Historia Kuu ya Afrika) ni mradi wa UNESCO ulioanzishwa tangu mwaka 1964. Shabaha ya mradi ni kusahihisha" maelezo mapotovu yaliyokuwa yakieleza umaskini na ushenzi katika bara hili” kwa" kufanya uchunguzi mwafaka wa habari usiokuwa na upendeleo” ...

                                               

Historia ya Italia

Historia ya Italia inahusu eneo la rasi ya Italia, hasa linalounda leo Jamhuri ya Italia. Akiolojia imethibitisha uwepo wa Homo neanderthaliensis miaka 200.000 hivi iliyopita. Homo sapiens alifika miaka 40.000 hivi iliyopita. Kufikia milenia ya 1 ...

                                               

Historia ya Nigeria

Historia ya Nigeria inahusu eneo la Afrika Magharibi ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Nigeria. Kabla ya ukoloni eneo la Nigeria lilikuwa na falme mbalimbali. Kaskazini ilikuwa chini ya masultani wa Kiislamu wa Kano na Sokoto; kusini ili ...

                                               

Historia ya Ufaransa

Watu wa Ufaransa waliingia katika historia andishi kupitia taarifa za waandishi wa Roma ya Kale walioeleza habari za majirani wao Wagallia katika Italia kaskazini na Ufaransa wa leo. Hao Wagallia walikuwa Wakelti na mara kwa mara katika hali ya v ...

                                               

Historia ya Ufini

Ufini ulikaliwa na watu tangu ilipokwisha enzi ya barafu ya mwisho, miaka 9000 KK hivi. Wakazi wa kwanza walikuwa wawindaji-wakusanyaji ambao walitumia vifaa vya mawe vinavyofanana na vile vya Estonia, Russia na Norway. Labda kilimo kilianza miak ...

                                               

Historia ya Uganda

Wakazi wa kwanza huaminiwa kuwa wawindaji wa jamii ya Wasani. Katika karne za kwanza BK walifika wahamiaji Wabantu wenye ujuzi wa kilimo na uhunzi. Kutoka kaskazini walifika Waniloti kwa mfano Waluo na baadaye Karimojong. Tangu karne ya 15 himaya ...

                                               

Historia ya Ujerumani

Historia ya Ujerumani inahusu eneo ambalo siku hizi linaunda Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani. Makabila mbalimbali ya Wagermanik yamekuwa yakiishi kaskazini mwa Ujerumani wa leo tangu zamani za Roma ya Kale. Eneo lililoitwa kwa Kilatini "German ...

                                               

Historia ya Urusi

Urusi kama nchi ya pekee ilianza polepole pale ambako makabila ya wasemaji wa Kislavoni cha Mashariki walipoanza kujenga maeneo yao kuanzia karne ya 8 BK. Waviking waliunda dola la kwanza katika eneo la Kiev, wakalitawala kama dola la Kislavoni. ...

                                               

HIStory/Ghosts

HIStory "/" Ghosts ni wimbo wa Michael Jackson kutoka katika remix albamu yake ya mwaka wa 1997, Blood on the Dance Floor: HIStory in the Mix. Wimbo halisi wa "HIStory" ulitolewa ukiwa kama wimbo kwenye albamu yake ya mwaka wa 1995, HIStory, laki ...

                                               

Holler If Ya Hear Me

Holler If Ya Hear Me ni wimbo wa 2Pac, kutoka katika albamu yake ya pili, Strictly 4 My N.I.G.G.A.Z. Wimbo ulikuwa ndiyo wa kwanza kutolewa kama single kutoka katika albamu hii hapo mnamo mwaka wa 1993. Kibao kimechukua sampuli ya wimbo wa kundi ...

                                               

Holmi

Holmi Holmium ni elementi ya kimetali yenye alama Ho na namba atomia 67, maana yake kiini cha Holmi kina protoni 67 ndani yake. Uzani atomia ni 164.930. Katika jedwali la elementi inahesabiwa kati ya lanthanidi na metali za ardhi adimu. Holmi ili ...

                                               

Homa ya dengi

Homa ya dengi ni ugonjwa wa kitropiki unaosababishwa na virusi vya dengi. Mbu wa kike wa aina ya Aedes, hasa A. aegyptindiye anayesambaza virusi hivyo. Homa ya dengi pia hujulikana kama "homa ya kuvunja mifupa" kwa sababu inaweza kuwafanya watu w ...

                                               

Homa ya manjano

Homa ya manjano ni ugonjwa mkali unaosababishwa na virusi. Katika kesi nyingi, dalili hujumuisha homa, homa ya baridi, kukosa hamu ya chakula, kichefuchefu, maumivu ya misuli hasa mgongoni, na maumivu ya kichwa. Kwa kawaida dalili hupona kwa siku ...

                                               

Homa ya matumbo

Homa ya matumbo husababishwa na bakteria anayeitwa Salmonella Typhi. Ugonjwa huu huambukizwa kwa mtu kula au kunywa chakula au maji yaliyo na kinyesi cha mtu aliyambukizwa. Bakteria hawa hutoboa na kunyonya chakula kwenye matumbo ya binadamu.

                                               

Homa ya Q

Homa ya Q ni ugonjwa unaosababishwa na Coxiella burnetii, bakteria anayeathiri binadamu na wanyama. Bakteria hiyo si ya kawaida ila inaweza kupatikana katika ngombe, kondoo, mbuzi na mamalia wengine wafugwao, ikiwa ni pamoja na paka na mbwa. Maam ...

                                               

Homer

Homeri ni jina la mshairi mashuhuri kabisa wa Ugiriki ya Kale. Mashairi makubwa yanayosimulia vita vya Troya na misafara ya mfalme Odiseo yamehifadhiwa kama kazi zake.

                                               

Hori ya Baffin

Hori ya Baffin ni mkono wa Bahari Atlantiki unaotenganisha Greenland na Kisiwa cha Baffin upande wa magharibi. Jina la Baffin Bay linamaanisha "Hori ya Baffin" ingawa si hori, inafanana zaidi na mlangobahari mrefu sana. Ila tu, ilhali uso wake un ...

                                               

Chenjerai Hove

Chenjerai Hove ni mshairi wa Kizimbabwe, mwandishi wa riwaya na mwandishi insha. Alipata elimu yake katika Chuo Kikuu cha Afrika Kusini na Chuo Kikuu cha Zimbabwe, na amefanya kazi kama muelimishaji na mwanahabari. Mkosoaji wa sera za hivi majuzi ...

                                               

Howani Mwana Howani

Howani Mwana Howani ni moja kati ya tenzi maarufu za Kiswahili zilizoandikwa na mwandishi mwanamke ajulikanaye kama Zaynab Himid Mohammed, mzaliwa wa Malindi katika kisiwa cha Zanzibar nchini Tanzania. Utenzi huu ni utenzi unaozungumzia sana kuhu ...

Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →