ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 61                                               

Dhahari ya Dubu

Dhahari ya Dubu inayomaanisha" Mgongo wa Dubu” ilijulikana vile kwa mabaharia Waswahili tangu miaka mingi wakifuata njia yao baharini wakati wa usiku kwa msaada wa nyota. Walipokea jina hili kutoka kwa Waarabu wanaosema ظهر الدب الأكبر dhahar ad- ...

                                               

Kidhaiso

Kidhaiso ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wadhaiso. Inafanana sana na Kisegeju. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kidhaiso imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kidhaiso i ...

                                               

Dhiraa

Dhiraa ni kipimo cha kihistoria cha urefu cha takriban sentimita 50. Iliitwa pia "mkono". Ni kati ya vipimo asilia vya Kiswahili, ni umbali mkubwa kati ya kidole kikubwa na kisugudi au kiko cha mkono wake. Dhiraa inalingana na kipimo cha shibiri; ...

                                               

Didake

Didake ya Mitume Kumi na Wawili ni kimojawapo kati ya vitabu vya kale zaidi vya Ukristo, ambavyo viliandikwa na Mababu wa Kanisa na vinapatikana nje ya Biblia. Kinakadiriwa kiliandikwa kati ya mwaka 70 na 150 BK katika mazingira ya Syria. Mwandis ...

                                               

Kidigo

Kidigo ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania na Kenya inayozungumzwa na Wadigo. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kidigo nchini Kenya imehesabiwa kuwa watu 217.000. Pia kuna wasemaji 88.000 nchini Tanzania. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kiba ...

                                               

Wadigo

Wadigo ni kabila la Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Tanga, hasa kwenye mji wa Tanga. Pia wako Kenya wanapoishi upande wa Kusini wa mji wa Mombasa. Katika Kenya huhesabiwa kati ya mijikenda. Lugha yao ni Kidigo.

                                               

Dimitri wa Thesalonike

Dimitri wa Thesalonike alikuwa Mkristo wa Sirmium ambaye alifia dini yake katika dhuluma ya Kaisari Dioklesyano. Kwa sababu hiyo tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhim ...

                                               

Dioskoro I wa Aleksandria

Dioskoro I wa Aleksandria kuanzia mwaka 444 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria na Papa wa 25 wa Kanisa la Wakopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu pamoja na Waorthodoksi wa Mashariki wengine. Kumbe Mtaguso wa Kalsedonia 451 ulikuw ...

                                               

Kidoe

Kidoe ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wadoe. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kidoe imehesabiwa kuwa watu 24.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kidoe iko katika kundi la G30.

                                               

Dome

Dome au mafuu ni wanyama wa bahari wa oda Sepiida katika ngeli Cephalopoda. Ngisi, pweza, na pweza-kome wamo katika ngeli hii pia. Dome wana kome ya ndani ya kipekee iitwayo kifuu. Licha ya jina lao la Kiingereza, ambalo ni cuttlefish, dome si sa ...

                                               

Dominica Dipio

Dominica Dipio ni mtawa Mkatoliki wa Uganda, mtengenezaji wa filamu, mwandishi na profesa wa Fasihi na Filamu katika Chuo Kikuu cha Makerere huko Kampala, Uganda. Kama dada, yeye ni wa Taasisi ya Masista Wamishonari wa mama wa kanisa la MSMMC, mk ...

                                               

Dominiko Buy Van Uy

Dominiko Buy Van Uy ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati tofauti, Papa Leo XIII, P ...

                                               

Dominiko Cam

Dominiko Cam alikuwa padri wa Vietnam. Ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati tofaut ...

                                               

Dominiko Dinh Dat

Dominiko Dinh Dat ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati tofauti, Papa Leo XIII, Pap ...

                                               

Dominiko Henares

Dominiko Henares, O.P. alikuwa askofu mmisionari kutoka Hispania. Ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenz ...

                                               

Dominiko Huyen

Dominiko Huyen ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati tofauti, Papa Leo XIII, Papa P ...

                                               

Dominiko Mao

Dominiko Mao ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati tofauti, Papa Leo XIII, Papa Piu ...

                                               

Dominiko Mau

Dominiko Mau, O.P. alikuwa padri wa Vietnam. Ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati ...

                                               

Dominiko Ngon

Dominiko Ngon ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati tofauti, Papa Leo XIII, Papa Pi ...

                                               

Dominiko Nguyen

Dominiko Nguyen alikuwa tabibu ambaye ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati tofauti ...

                                               

Dominiko Nguyen Van Hanh

Dominiko Nguyen Van Hanh, O.P. alikuwa padri wa Vietnam. Ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. ...

                                               

Dominiko Nguyen Van Xuyen

Dominiko Nguyen Van Xuyen, O.P. alikuwa padri wa Vietnam. Ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. ...

                                               

Dominiko Nhi

Dominiko Nhi ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati tofauti, Papa Leo XIII, Papa Piu ...

                                               

Dominiko Ninh

Dominiko Ninh ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati tofauti, Papa Leo XIII, Papa Pi ...

                                               

Dominiko Pham Thong

Dominiko Pham Thong ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati tofauti, Papa Leo XIII, P ...

                                               

Dominiko Toai

Dominiko Toai ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati tofauti, Papa Leo XIII, Papa Pi ...

                                               

Dominiko Trach

Dominiko Trach, O.P. alikuwa padri wa Vietnam. Ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakat ...

                                               

Dominiko Tuoc

Dominiko Tuoc, O.P. alikuwa padri wa Vietnam. Ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati ...

                                               

Dominiko wa Guzman

Dominiko wa Guzmán 1170 hivi - Bologna 6 Agosti 1221) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki akaanzisha Shirika la Wahubiri. Alitangazwa mtakatifu na Papa Gregori IX tarehe 2 Julai 1234. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Agosti.

                                               

Dont Stop til You Get Enough

Dont Stop til You Get Enough ni wimbo wa kwanza kutoka katika albamu ya mwezi wa Julai 1979, Off the Wall iliofanywa na mwimbaji wa Kimarekani, Michael Jackson. Wimbo umetungwa na Jackson, huu ndiyo wimbo kwanza kutunga mwenyewe tangu aanze kuwa ...

                                               

Donasiani wa Reims

Donasiani wa Reims alikuwa askofu wa 7 au wa 8 wa mji huo nchini Ufaransa. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe 14 Oktoba.

                                               

Donulus

Donulus Rinaldi alikuwa mmojawapo kati ya wenzi wa Danieli Fasanella waliofia dini ya Ukristo huko Ceuta tarehe 10 Oktoba 1227. Walikuwa Ndugu Wadogo wamisionari huko Moroko.Kati yao yeye tu hakuwa padri. Walitangazwa watakatifu na Papa Leo X mwa ...

                                               

Lucky Dube

Lucky Philip Dube alikuwa mwanamuziki wa reggae kutoka Afrika Kusini. Alirekodi albamu 22 katika lugha ya Kizulu, Kiingereza na Kiafrikaans katika kipindi cha miaka 25-na alikuwa mwanamuziki wa Reggae kutoka Afrika Kusini ambaye aliuza albamu nyi ...

                                               

Dunia

Dunia ni gimba la angani ambapo juu yake tunaishi sisi binadamu na viumbehai wengine wengi, tukipata mahitaji yetu, kuanzia hewa ya kutufaa na maji. Dunia ni mojawapo ya sayari nane zinazozunguka Jua letu katika anga-nje. Kati ya sayari za mfumo ...

                                               

Yohane Duns Scotus

Yohane Duns Scotus, O.F.M. anahesabiwa kati ya wanafalsafa na wanateolojia bora wa Karne za Kati. Mafundisho ya padri huyo, mfuasi wa Fransisko wa Asizi, yaliathiri sana Kanisa Katoliki na jamii kwa jumla. Kutokana na hoja zake kali aliitwa Docto ...

                                               

Dunstan wa Canterbury

Dunstan wa Canterbury alikuwa abati wa Glastonbury Abbey, halafu askofu wa Worcester, London, na hatimaye askofu mkuu wa Canterbury, mbali ya kuwa waziri chini ya wafalme kadhaa. Kwa juhudi zake alirekebisha umonaki na Kanisa la Uingereza kwa jum ...

                                               

Earth Song

Earth Song ni single ya tatu ya Michael Jackson kutoka katika albamu yake ya tisa ya HIStory: Past, Present and Future, Book I. Ni muziki wa ballad ulitumbukiziwa na elementi za muziki wa blues, gospel na opera. Jackson ana historia ndefu ya kuto ...

                                               

Eata

Eata alikuwa abati, halafu pia askofu wa mji huo miaka mitatu, baada ya kuongoza monasteri na makanisa mbalimbali, hasa jimbo la Lindisfarne, kwa upole na unyofu mkubwa, kama alivyosimulia mwanahistoria Beda Mheshimiwa. Tangu kale anaheshimiwa na ...

                                               

Edburga wa Winchester

Edburga wa Winchester alikuwa binti wa mfalme wa Uingereza Edward Mzee na wa mke wake wa tatu, Eadgifu wa Kent. Maisha yake yaliandikwa kwanza na Osbert de Clare, aliyepata kuwa priori wa Westminster mwaka 1136. Tangu kale anaheshimiwa kama mtaka ...

                                               

Editha

Editha wa Wilton alikuwa binti wa mfalme Edgar akawa mmonaki katika abasia ya Wilton. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa na Wakatoliki na Waanglikana tarehe 16 Septemba.

                                               

Edmund Rich

Edmund Rich alikuwa mwalimu maarufu wa hisabati, falsafa na teolojia katika vyuo vikuu vya Paris na Oxford, halafu mhubiri, na hatimaye askofu mkuu wa Canterbury. Kwa juhudi zake alirekebisha umonaki, Kanisa la Uingereza na nchi kwa jumla. Alitan ...

                                               

Edward Muungamaji

Edward Muungamadini alikuwa mfalme wa Uingereza kuanzia mwaka 1042 hadi kifo chake. Kama mfalme hakuwa na nguvu ya kutawala lakini maisha yake ya Kikristo yalikuwa mfano mwema kabisa. Mwaka 1161 alitangazwa kuwa mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe ...

                                               

Edward Shahidi

Edward Shahidi alikuwa mfalme wa Uingereza tangu tarehe 8 Julai 975 hadi alipouawa huko Corfe Castle, Dorset. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana wanaadhimishwa sikukuu yake tarehe ya kifo chake.

                                               

Edward Steere

Edward Steere alikuwa mwanatheolojia Mwanglikana kutoka Uingereza aliyepata kuwa askofu wa Zanzibar akikumbukwa kuwa kati ya Wazungu wa kwanza waliokusanya matini za Kiswahili na kutunga sarufi ya lugha hiyo.

                                               

Edward Tingatinga

Edward Saidi Tingatinga alikuwa na msanii Mtanzania aliyeanzisha mtindo wa uchoraji wa Tingatinga unaojulikana sana siku hizi na kutafutwa na wapenzi wa sanaa ya Tanzania kote duniani.

                                               

Mto Effra

Mto Effra uko kusini mwa London, Uingereza. Hasa huwa chini ya ardhi. Jina limetokana na neno la Celtic mafuriko lililotolewa na makabila kabla ya Kirumi au jina la shamba katika Brixton. Wakati mfumo wa taka katika London ulijengwa katikati ya k ...

                                               

Efrem wa Syria

Efrem wa Siria, alikuwa mtawa na shemasi, mwanateolojia na mwanashairi pamoja. Ni maarufu hasa kwa tenzi zake nyingi ajabu kwa lugha ya Kiaramu ambazo zinatumika hadi leo katika liturujia na kutokeza imani kwa namna bora. Ndiye mwakilishi muhimu ...

                                               

Egidi mkaapweke

Egidi mkaapweke alikuwa mmonaki Mgiriki kutoka Athens, ingawa habari za maisha yake kiini chake ni mikoa ya Provence na Septimania. Kaburi lake huko Saint-Gilles-du-Gard limekuwa kituo muhimu cha hija kutoka Arles kwenda Santiago de Compostela ku ...

                                               

Egwini wa Evesham

Egwini wa Evesham, O.S.B. alikuwa mmonaki Mbenedikto kutoka Mercia aliyefanywa askofu wa 3 wa jimbo la Worcester. Alijitahidi kurekebisha maadili ya mapadri na walei na kwa ajili hiyo alipingwa sana. Hatimaye alianzisha monasteri ya Evesham. Anah ...

                                               

Albert Einstein

Albert Einstein alikuwa mwanafizikia mwenye asili ya Kiyahudi kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa anajulikana kwa nadharia ya uhusianifu. Mwaka 1921 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia. Mwaka 1933 alipoona kuwa Hitler aliteka utawala nchini Uj ...

Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →